Kitwanga awa waziri wa kwanza aliyeteuliwa na Rais Pombe Magufuli kuvuliwa  .

Rais amechukua hatua hatua hiyo baada ya waziri huyo wa mambo ya ndani ya nchi kuingia bungeni akiwa amelewa.
Hii ni aibu kubwa sana kwa kiongozi mwenye dhamana kuondolewa ofisini kwa nashfa ya kijinga kama hii.
Charles kitanga amewahi kuhudumia bank kuu na walikuwa na mahusiano mazuri na Rais Magufuli na huenda ndicho kimempa kiburi cha kufanya ujinga kama ule.

Hongera rais Magufuli kwa kutuondolea mizigo lakini tunaomba adhabu isikike pia.

Lakini je unadhani kweli ulevi umemuondoa kitwanga? Fikiria kuhusu BOT na suala zima la Lugumi!

(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top